Misri kuongozwa na Al Sisi mpaka 2030

Abdel Fattah al-Sisi  kuongoza Misri hadi mwaka 2030

Bunge nchini Misri  lapitisha msuada wa sheria  baada ya kufanyia marekebesho katiba na kumpa fursa rais Abdel Fattah al-Sisi kusalia madarakani hadi mwa  2030

Bunge nchini Misri  lapitisha msuada wa sheria  baada ya kufanyia marekebesho katiba na kumpa fursa rais  aliemadarakani aliempindua rais Morsi , Abdel Fattah al-Sisi kusalia madarakani hadi mwa  2030.

Upinzani nchini humo wamekosoa uamuzi huo uliochukuliwa na bunge kwa kusema kwamba Misri imeingia katika  utawala wa kiimla.

Mbali na mabadiliko hayo, wabunge wamempa rais Al Sisi mamlaka makubwa ya kudhibiti idara ya Mahakama lakini pia jeshi kuendelea kuwa na usemi mkubwa katika siasa za taifa hilo.

Hata hivyo, mabadiliko hayo yanatarajiwa kupigiwa kura ya maoni na wananchi wa Misri huku  tarehe za zoezi hilo ikitarajiiwa kutangazwa hivi karibuni.

Rais Al Sisi, ambaye alichaguliwa mwaka 2018, muhula wake wa miaka sita ulitarajiwa kumalizika mwaka 2024, lakini iwapo mabadiliko hayo yataungwa mkono, anaweza kuchagulia tena kwa muhula mwingine wa miaka sita katika uchaguzi utakaofanyika nchini humo.

Ifahamike kuwa rais Al Sisi  alinngia madarakani mwaka  2013 baada ya kumpindua rais aliekuwa amechaguliwa kwa njia ya demokrasia Mohamed Morsi.

Tagi: Al Sisi , Misri

Habari Zinazohusiana