Watu 19 wafariki katika  ajali ya ndege nchini Sudani Kusini

Watu 19 wafariki katika ajali ya ndege  Yirol nchini Sudani Kusini

Watu 19 wafariki katika  ajali ya ndege nchini Sudani Kusini


Muhusika katika kitengo cha upashaji habari Yirol nchini Sudani Kusini Taban  Abel Aguek amesema kuwa ndege  iliokuwa  na abiria 22 imefanya ajali  na kupelekea watu 19 kufariki.

Ndege hiyo imeanguka  karibu  na uwanja wa ndege Yirol. 

Miongoni  mwa watu walionusurika katika ajali hiyo  yumo mtoto mdogo.

Uchunguzi umeanzishwa kubaini sababu zilizopelekea ajali hiyo.Habari Zinazohusiana