Rais  Erdoğan ampokea rais Benin ikulu mjini Ankara

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ampokea rais wa Benin Patrice Talon ikulu mjin Ankara

Rais  Erdoğan ampokea rais Benin ikulu mjini Ankara

Rais wa Benin Patrice Talon amewasili nchini Uturuki Alkhamis katika ziara yake  rasmi.

Katika ziara yake hiyo rais wa Benin amezungumza na rais wa Uturuki Recep  Tayyıp Erdoğan kuhusu masuala tofauti kuhusu ushirikiano kati ya Uturuki na Benin.

Baada ya mkutano wao viongozi hao walifanya mkutano na waandishi wa habari  na kuzungumzia kuhusu umuhimu wa ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

Rais Erdoğan amesema kuwa Afrika ina umuhimu mkubwa kwa Uturuki ambayo kwa sasa imekwishafungua balozi katika mataifa 41 na malengo yak eni kufungua balozi katika matifa yote ya bara la Afrika.Habari Zinazohusiana