Mafuriko yasababisha vifo vya watu sita Nigeria

Watu sita wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Nigeria.

1019311
Mafuriko yasababisha vifo vya watu sita Nigeria

Watu sita wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Nigeria.

Alhaji Musa Jidawa, Mratibu wa Shirika la Usimamizi wa Dharura la serikali  (SEMA), amesema mafuriko yameathiri maisha ya watu kwa kiasi kikubwa.

Jidawa amebainisha kwamba mamia ya nyumba na biashara vimeharibiwa.

Timu za misaada ya dharura zimepelekwa katika maeneo husika.Habari Zinazohusiana