Moto katika mgodi wa shaba wasababisha vifo vya watu 6 Afrika Kusini

Moto katika mgodi wa shaba umesababisha wachimba madini sita kupoteza maisha nchini Afrika Kusini.

1013688
Moto katika mgodi wa shaba wasababisha vifo vya watu 6 Afrika Kusini

Moto katika mgodi wa shaba umesababisha wachimba madini sita kupoteza maisha nchini Afrika Kusini.

Tukio hilo limetokea katika mgodi wa Palabora Kaskazini mwa Limpompo.

Kampuni ya Parabola imetangaza kusikitishwa na tukio hilo na kutuma salamu za rambirambi kwa wafikiwa.

Uchunguzi kuhusu chanzo cha moto huo unaendelea.

Wachimba madini wengi wamepoteza maisha huku wengine wakiwa wamenaswa katika migodi toka kuanze kwa mwaka huu nchini Afrika Kusini.Habari Zinazohusiana