Wazazi wawapa watoto wao jina la "Istanbul" nchini Somalia

Wazazi nchini Somalia wameendeela kuwapa mabinti zao jina la Istanbul kutokana na msaada mkubwa nchi ya Uturuki inayoonyesha kwao.

Wazazi wawapa watoto wao jina la "Istanbul" nchini Somalia

Wazazi nchini Somalia wameendeela kuwapa mabinti zao jina la Istanbul kutokana na msaada mkubwa nchi ya Uturuki inayoonyesha kwao.

Walipohojiwa wazazi tofauti wameelezea kuwa sababu kubwa ya kuwapa wanao jina la Istanbul ni kutokana na msaada wa Uturuki nchini Somalia.

"Jina linabaki kama kumbukumbu",alisema mzazi mmoja.

Uturuki imekuwa ikionyesha msaada mkubwa wa kibinaadamu nchini Somalia.

Mwaka jana Uturuki iliaznisha kituo cha kuwapa mafunzo wanajeshi wa Somalia.Habari Zinazohusiana