Leo katika historia

Mkutano wa Sivas ulianza baada ya hotuba ya ufunguzi ya Mustafa Kemal Pasha.

1484993
Leo katika historia
TARİHTE BUGÜN_04 EYLÜL_TUĞRUL BEY ÖLDÜ
TARİHTE BUGÜN_04 EYLÜL_NATO AFGANİSTAN

04 / SEPTEMBA / 1063 Tuğrul Bey, mwanzilishi wa Dola kuu ya Seljuk, alipoteza maisha akiwa na umri wa miaka 73 katika mji wa Rey nchini Iran.Alparslan, mwana wa kaka yake Çağrı Bey ,alitangazwa kama Mtawala Mkuu wa Seljuk.04 / SEPTEMBA / 1919 Mkutano wa Sivas ulianza baada ya hotuba ya ufunguzi ya Mustafa Kemal Pasha.Kongamano liliamua Ulinzi wa sheria wa Rumelia na Anatolia dhidi ya kuchukuliwa kwa Anatolia na kuanzishwa kwa Kamati ya uwakilishi ya watu 15. Mustafa Kemal Pasha alichaguliwa kama mwenyekiti wa Kamati ya Uwakilishi.04 / SEPTEMBA / 2009 Ndege za NATO zilifanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa Taliban waliodaiwa kuiba matenki ya petrol katika mkoa wa Kunduz kaskazini mwa Afghanistan.Watu 90 walipoteza maisha.Habari Zinazohusiana