Leo katika historia

Bulgaria, Ugiriki, Serbia na Romania zilianza Vita vya 2 vya Balkan

1445628
Leo katika historia

29 / JUNE / 1913 Bulgaria, Ugiriki, Serbia na Romania zilianza Vita vya 2 vya Balkan. Jeshi la Ottoman pia lilikuja kutoka Bulgaria.Ottoman ilichukua fursa ya kuchukua maeneo ya Edine na Kırklarelı


29 / JUNE / 1939 Bunge Maalum la Jimbo la Hatay lilifanya mkutano wake wa mwisho na kuamua kujiunga na Uturuki.


29 / JUNE / 1999 Kiongozi wa kundi la kigaidi lililosababisha vifo vya maelfu ya watu PKK, Abdullah Öcalan alihukumiwa kifo kutokana na uhalifu wake. Baadaye adhabu yake iligeuzwakuwa kifungo cha maisha.

 


Tagi: #historia , #leo

Habari Zinazohusiana