Leo katika historia

Kuvamiwa kwa Iraq

1444712
Leo katika historia

28 / JUNE / 1914 Mrithi wa Dola ya Austro-Hungary,Archduke Franz Ferdinand na
mkewe waliuawa huko Sarajevo na Mserbia anayeitwa Gavrilo Princip.
Mauaji haya ndio yalikua sabbau ya kuanza kwa Vita vya kwanza vya Dunia.


28 / JUNE / 1919 Mkataba wa Versailles uliomaliza Vita vya Kwanza vya Ulimwengu ulisainiwa kati ya Nchi za Entente na Ujerumani. Mkataba huo ulipelekea Ujerumani kupoteza koloni zake,kupunguza wanajeshi na kukubali kulipa mabilioni kama fidia ya vita. Hali hiiilipelekea kufilisika kwa Ujerumani na kufungua njia kwa utawala wa Adolf Hitler.


28 / JUNE / 2004 Uongozi wa Marekani ulioivamia Iraq katika Vita vya Pili vya Ghuba ulimkabidihi uongozi Waziri Mkuu Iyad Aliavi katika serikali ya muda iliyoanzishwa.Habari Zinazohusiana