Leo katika historia

Chanjo ya Kifua Kikuu yapatikana

1444119
Leo katika historia

26 / JUNE / 1541 Baharia wa Ufaransa Pizarro aliyeharibu ustaarabu wa Inca na kuagiza kuuawa kwa maelfu ya wenyeji wa eneo hilo,aliuawa baada ya kuvamiwa na wapinzani wake akiwa katika jumba lake la kfalme.


26 / JUNE / 1924 Watafiti wa Ufaransa Albert Calmette na Camille Guerin walipata Chanjo ya kifua kikuu .


26 / JUNE / 1945 Mkataba wa San Francisco, ambao ulianzisha Shirika la Umoja wa Mataifa,ulisainiwa na nchi 51 ikiwemo Uturuki.Umoja wa Mataifa ulianza rasmi Oktoba 24.


Tagi: #historia , #leo

Habari Zinazohusiana