Leo katika historia

Jeshi la Ugiriki laivamia Uturuki

1422290
Leo katika historia

23 / Mei / 1040 Vita vya Dandanakan vikitangaza kuanzishwa kwa Dola kuu ya Seljuk,vilianza kati ya Jeshi la Seljuk na Jeshi la Gazne. Siku 3 za vita zilipelekea kuanguka kwa jimbo la Ghaznavids.

23 / Mei / 1919 Uvamizi wa jeshi la Ugiriki İzmir ulipingwa na maandamano ya "Sultanahmet Rally" huko Istanbull.Hotuba ya mwandishi Halide Edip Adivar wakati wa maandamano ilivutia wengi.


23 / Mei / 2015 Mwanahisabati wa Marekani, ambaye alionyesha mafanikio katika uwanja wa uchumi na "nadharia ya Mchezo",John Forbes Nash alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 87. Alishinda Tuzo ya Nobel kwenye uchumi mwaka 1994.Habari Zinazohusiana