Leo katika historia

Christopher Colombus afariki dunia, rubani wa kwanza mwanamke kuvuka bahari ya Atlantic

1420640
Leo katika historia

20 / Mei / 1506 Mpelelezi wa kwanza wa Ulaya kufika bara la Marekani, Christopher Columbus alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 55.

20 / Mei / 1932 Rubani wa Kimarekani Ameria Earhart,alikua rubani wa kwanza mwanamke kuvuka bahari ya Atlantic peke yake na bila kusimama kati ya Newfoundlad-Ireland.

Mnamo Januari 1935,Earhart pia alirusha ndege ya Atlantic peke yake katika safari ya masafa marefu kati ya Hawaii na California,akiwa ni mtu wa kwanza kufanya hivyo.Habari Zinazohusiana