Uinjilisti: Kukithiri kwa Uhalifu, Twalekea Siku ya Mwisho

Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Kudret BÜLBÜL anatuleta tathmini ya mada yetu

Uinjilisti: Kukithiri kwa Uhalifu, Twalekea Siku ya Mwisho

Kufuatia  urithi na malengo yake ya uharibifu,  kwa muda mferu  katika siasa za Uturuki na kundi la FETÖ na ushawishi wake  na  wadhifa wake katika imani. leo katika kipindi chetu tutazungumzia kuhusu  mchungaji kutoka Marekani Brunson aliekamatwa na Uturuki . Hali kama hiyo  kwa mara nyingine  yajitokeza.

Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Kudret BÜLBÜL anatuleta tathmini ya mada yetu ya leo …

Kabla  ya  kustakiwa na kutuhumiwa Julai 15  Brunon   alikuwa hajawahi  kutumia kanisa  au katika harakati zozote ambazo zilkionekana kuwa harakati za kiroho nchini Uturuki. Baada ya kukamatwa  kutokana na ushirikiano wake na kundi la kigaidi la PKK na Fetö, Brunson alitambulishwa  kama  mchubgaji.

Marekani ilifahamisha kuwa ştaiwekea vikwazo Uturuki. Vikwazo hivyo vimepelekea kujiuliza kuhusu ushirikiano  kati ya Uturuki na Marekani.  Licha ya kuwa Marekani inazungumzia kuhusu uhuru wa kuabudu na imani  Marekani inatumia  jambo hilo kama kigezo . Kufautia suala hilo Marekani ni kama inatupilia  mbali  tamaduni za mataifa mengine.

Ushirikiano mwema  katika suala la imani  upo katika hali ya kuridhisha na  jambo ni kutokana na upande chanya  wa uhuru wa kuabudu na imani. Marekani  kama ilivyokuwa Ulaya katika miaka kadhaa  iliopita  imewaepuka  watu wenye kufuati  imani bil ya kufikiria  ni taifa mbalo pia lilitambulika kwa  uhuru wa kuabudu  katika kipindi kilichopita.

Jambo hilo sio  kutupia lawama  na taifa mabalo linatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu  na taifa ambalo  halina tatizo na jambo hilo  haliwezi kuwa  mfano wa  kusitisha kuheshimu  haki za binadamu. Hali hiyo iwapo itajitokeza basi itazuia harakati na melengo ya kuwa na ushawishi. Tunaweza kuzungumzia imani katika kipindi cha dola ta Ottoman, kipindi ambacho dini  ilikuwa na nafasi kubwa . Kipindi cha Utawala wa Dola ya Ottomani  ni mfano uliohai.

Jambo linatakiwa kikemewa sio imani au dini, kwa kuwa tunashuhudia kuwa ushirikiano katika ya uongozi wa kiimani na serikali  ipo katika hali nzuri, wakati ambapo  haki za kimsingi zinaheshimishwa ni wazi kuwa ushirikiano upo katika hali nzuri.  Jambo ambalo linalostahili kukemewa ni  kutumia iamni au dini   kwa malengo ya kibepari . dini inatakiwa  kupiga vita  kutumiwa kwa malengo yasikuwa ya kiimani. Kipindi ambapo  dini inataka kutumiwa kwa malengo kama hayo basi kuna wajibu kusimami na kuonesha msimamo wake.  Israeli  kama taifa lla dini  au uzayuni  ukiwa kama dini ya taifa ni uakilishi  ulio na  udanganyifu na usio na  ushirikiano wa kidini na  mataifa mengine.

Waislamu, wakristo na wayahudi waliokuwa wakiishi pamoja kwa muda w mrefu kwa amani kwa sasa kunashuhudiwa uhasama  kutokana na  kukaliwa kimabavu  ardhi isiokuwa milki yake  na Israel.

Tukiwa tunazungumzai kuhusu  mchangaji wa kiinjilisti  Brunson na  vikwazo ambavyo vilifahamishwa na uangozi wa  Marekani na Mike Pence dhidi ya Uturuki  na ushirikiano katika  kundi moja katika imani .  Nchini Marekani,  katika siasa,  katika taasisi tofauti zaidi ya watu milioni    90 ni wafuasi wa kiinjilisti. Ville inafahamika kuwa rais wa zamani Reagen na  Bush  ni wa injilisti .

Uinjilisti ni nini?

Jambo la kwanza ambalo tunatakiwa kufahamu ni kwamba mfumo huo  ni  mfumo au imani ambayo  haina chanzo katika imani ya kikatoliki wala imani  ambayo inadaiwa kuwa imani iliosambamba na mafunzo . Uinjilisti unatambulika kama  kundi la kidini ambalo linachanzo chake katika  kanisa la kiprotestanti. Ni katika karne ya 19 ndio kulianza kujitokeza tofauti na kujitenga kwake . neno ”injili” linatafsiriwa kama  ”kujielekeza katika uokovu”.

Imani hiyo pia inaongozwa na Biblia  ikiwemo pia Agano la kale na  upande mwingine  kuwa  kwa wayahudi kutokana na  imani yake katika agano la kale katika biblia.

Kulingana na mtazama au imani hiyo  kabla ya  siku ya miwsho  Ukristo inaenea ulimwenguni kote  ila kufikiwa kwa jambo hilo kutachukuwa muda hivyo basi kulikuwa na umuhimu  wa kuwajibika ili kufikia katika matumani hayo ya ukristo kuenea  haraka.

Kwa mujibu wa wainjilisti,  kunatakiwa  juhudi za ziada ili kufikia haraka katika  lengo hilo . Jambo ambalo linadhaniwa  na wainjilisti ni kwamba  wayahudi  ni wateule  na ardhi yao ilitolewa ahadi kama nchi ya ahadi. Imani hiyo ni tofauti na imani wa ukristo.

Katika kipindi chetu Özcan Güngör  anazungumzia   hatua 7 ambazo malengo yake ni uinjilisti  kuchukuwa hatumu ulimwenguni.

Mwanzo kabisa, wayahudi  kulingana na imani hiyo watarejea katika ardhi ya wapalestina. Hatua hiyo imeonekana ilivyopangwa.

Hatua ya pili ,  Marekani huunga mkono Israel  Mashariki ya Kati  licha ya kuonekana kupingwa maamuzi ambayo  huchukuliwa na Marekani na ulimwengu mzima  kuhusu Israel. . Mfano ulio hai  ni kutangwa kwa Yerusalemu kama mji mkuu wa Israel na  Marekani hadi kuhamisha ubalozi wake . Kwa mujibu wa wadadisi ni  hatua hiyo ni moja ya  masula ambayo ni malengo ya uinjlisiti  katika siasa za Marekani.  Ni wazi kuwa   hatua hiyo haieleweki .

Hatua ya  tatu ni kufikisha ujumbe wa Biblia ulimwenguni kote .

Mchungaji Brunson kwa zaidi ya miaka 10, ikiwa nchini Uturuki na maeneo mengine  na katika mataifa ya kiislamu. Tukizungumzia kuhusu  harakati za kiinjilisti  katika mataifa tofauti barani Afrika, mamilioni ya watu wamekuwa wakristo.

Hatua ya 4 inazungumzia  kurejea kwa Issa katika imani yao kwa mara ya pili.

 Kuna haut 6 ambazo  zinazungumzia mapigano na vita , katika vşta hivyo ambavyo vinadaiwa kuwa « Armageddon »  watenda wema watashinda. Licha ya ulimwengu kushuhudiwa kuwa katika madhila  kunatarajiwa kuwa na vita vikali mno. Vita hivyo kulingana na imani hiyo  uinjilisti utashinda na kuinua  Israel mara moja.

Ulimwenguni mzima utakuwa na imani ya kikristo na mwisho 

 Kuna haut 6 ambazo  zinazungumzia mapigano na vita , katika vşta hivyo ambavyo vinadaiwa kuwa « Armageddon »  watenda wema watashinda. Licha ya ulimwengu kushuhudiwa kuwa katika madhila  kunatarajiwa kuwa na vita vikali mno. Vita hivyo kulingana na imani hiyo  uinjilisti utashinda na kuinua  Israel mara moja.

Ulimwenguni mzima utakuwa na imani ya kikristo na mwisho wake ni mwisho wa dunia.

Kutokana na jamo hilo tunaweza kusema kuwa  uinjilisti  unaweza pia kuitwa ”Ukristo wa kiinjilisti”. Hapo awali katika  karne ya 19 imani au dini ya kşyahudi  ilikuwa kama dni nyingi kama  ulivyo uislamu  na  ulivyokuwa ukristo . Wayahudi wa kizayudi walibadilisha  imani ya kiyahudi. Na sasa kunashuhudiwa  wayahudi wanaopinga  kwa pamoja  uyahudi wa kizayuni. 

Mazungumzo na mijadala kuhusu imani tofauti  yamefanyika kwa lengo la kuondoa dhani mbaya ambazo hutangazwa na watu wenye nia mbaya dhidi ya Uislamu yaliandaliwa. Kuna  baadhi ya  matendo maovu ambayo  hutendendwa na watu ambao hujinasibu kuyatenda kwa ajili ya uislamu.  Vile vile tunashuhudia  wainjlisti  ambao wanadaia kuwa Israel ni  nchi ya ahadi kwa wayahudi.

Ni jambo lisilokubalika  kusikia kwamba  ukiristo  unakuwa chini ya mabadiliko yaliofanyika  kutokana na tofauti za kihistoria  na kuwa ukristo wa kizayuni. Tunafahamu kuwa kiongozi wa kanisa katoliki  alipinga  kutangazwa kwa Yerusalemu  kama mji mkuu wa Israel. Vile vile  wayahudi na  wakristo wenye imani ya kale hukemea matendo ya Israel dhidi ya  waislamu .

Tunatakiwa kupinga  mbinu zote ambazo zinakwenda sambamba  na uzayuni  kutokana na  kupelekea kwake katika  ghasia kwa kizingishio cha dini.  Muungano wa wayahudi, wakristo na waislamu ujumbe wao ni ujumbe wa amani ulimwenguni.

Kutoka katika chuo kikuu cha  Ankara Yıldırım Beyazit kitengo cha siasa, Daktari Kudret BÜLBÜL anatuleta tathmini ya mada yetu

 Habari Zinazohusiana