Tuzo za TRT World Citizen

Tuzo za TRT World Citizen zitatolewa katika sherehe zitakazofanyika katika kiwanda cha nyuzi cha Haşkoy kilichopo Istanbul.