Kombora la Bozdoğan lapita majaribio ya kwanza

Uturuki inakuwa ni miongoni mwa mataifa 9 duniani yenye uwezo wa kuzalisha kombora la aina hii linalotoka anga moja hadi jingine.