Shambulizi la kinyama dhidi ya mjamzito, Sydney, Australia

Huko Sydney, Australia katika mgahawa mmoja mwanamume  akishambulia vibaya mwanamke aliyevaa kilemba kichwani,mwenye ujauzito wa wiki 38.