Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1663311
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 57 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 49,293.

Wagonjwa 565 wapya waligunduliwa kati ya watu 223,238 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 6143.

Watu 5214 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 5,242,945.

Kwa upande mwingine, zoezi la kuwapiga wananchi chanjo linaendelea kwa kasi nchini Uturuki.Habari Zinazohusiana