Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1639256
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 283 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 44,059.

Wagonjwa 1,217 wapya waligunduliwa kati ya watu 201,295 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 11,534.

Watu 55,472 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 4,856,763.Habari Zinazohusiana