Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1636272
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 278 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 42,465.

Wagonjwa 2,210 wapya waligunduliwa kati ya watu 251,194 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 20,107.

Watu 35,529 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 4,662,328.

 Habari Zinazohusiana