Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1634526
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 336 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 41,527.

Wagonjwa 2,483 wapya waligunduliwa kati ya watu 241,747 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 28,997.

Watu 38,218 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 4,554,037.Habari Zinazohusiana