Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1633006
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 340 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 40,844.

Wagonjwa 2,587 wapya waligunduliwa kati ya watu 240,145 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 25,980.

Watu 75,182 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 4,480,381.Habari Zinazohusiana