Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1627670
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 339 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 38,011.

Wagonjwa 2,905 wapya waligunduliwa kati ya watu 281,183 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 40,596.

Watu 52,297 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 4,022,498.


Tagi: #corona

Habari Zinazohusiana