Rais Erdoğan akutana na wawakilishi wa Utalii

Rais Recep Tayyip Erdoğan awapokea wawakilishi wa sekta ya utalii kwenye Ikulu ya Rais katika mji mkuu wa Ankara

1625785
Rais Erdoğan akutana na wawakilishi wa Utalii

Rais Recep Tayyip Erdoğan aliwapokea wawakilishi wa sekta ya utalii kwenye Ikulu ya Rais, katika mji mkuu wa Ankara kama sehemu ya hafla ya Wiki ya Utalii.

Akizungumzia mkutano huo, Erdoğan alisema kuwa walifanya mkutano mzuri wa kitaifa wa mashauriano na wawakilishi wa sekta ya utalii.

Rais Erdoğan pia alisema kuwa waliangazia shida zinazoikumba sekta ya utalii, matarajio yao, na jinsi wanavyoweza kupata faida zaidi kwenye mkutano huo.Habari Zinazohusiana