Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1618767
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 248 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 33,702.

Wagonjwa 2,497 wapya waligunduliwa kati ya watu 302,735 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 52,676.

Watu 32,539 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 3,301,217Habari Zinazohusiana