Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona

1618337
Virusi vya corona Uturuki

Idadi ya vifo katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (Covid-19) ndani ya masaa 24 yaliyopita imeripotiwa kuwa 253 nchini Uturuki.

Idadi ya watu wote waliopoteza maisha tangu mwanzo wa janga hilo imeongezeka hadi 33,454.

Wagonjwa 2,316 wapya waligunduliwa kati ya watu 305,103 waliofanyiwa vipimo ndani ya siku moja. Idadi ya kesi za maambukizi kwa siku ni 55,791.

Watu 35,786 walikamilisha matibabu yao na kupelekea idadi ya waliopona kuongezeka hadi 3,268,768.Habari Zinazohusiana