Kiongozi wa EU kufanya ziara Uturuki

Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Charles Michel nchini Uturuki

1615294
Kiongozi wa EU kufanya ziara Uturuki

Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya (EU) Charles Michel,  Ursula von der Leyen, wanatarajia kufanya ziara nchini Uturuki kwa mwaliko wa Recep Tayyip Erdoğan.

Kulingana na taarifa kutoka kwa Wizara ya Mawasiliano, uhusiano wa Uturuki na Jumuiya ya Ulaya ni kati ya mada zitakazozungumziwa .

Wakati wa ziara hiyo, kutakuwa pia na kubadilishana maoni juu ya maendeleo ya sasa ya kikanda na kimataifa.


Tagi: #EU , #Uturuki

Habari Zinazohusiana