Virusi vya corona Uturuki

Watu 64 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona

1596404
Virusi vya corona Uturuki

Watu 64 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.

Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 28,965.

Jumla ya watu 138,592 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 702 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi ndani ya siku moja imefikia 11,770.

Idadi ya waliopona imefikia 2,616,139 ikiwa ni pamoja na watu 7,291 walioruhusiwa kuondoka hospitali.Habari Zinazohusiana