Erdoğan amshukuru Katibu Mkuu wa NATO

Uturuki na NATO

1596410
Erdoğan amshukuru Katibu Mkuu wa NATO

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan ametoa shukrani zake kwa Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg kwa kuitathmini vizuri Uturuki.

Erdoğan ametoa shukrani hizo kupitia ukurasa wake kwenye mtadao wa Twitter.

Rais huyo wa Uturuki alitoa shukrani zake kwa Stoltenberg na kusema kuwa Uturuki itaendelea kutekeleza majukumu yake yote kama mshirika wa NATO na kusisitiza kuwa itaendelea kutumikia amani na usalama wa ulimwengu.


Tagi: #NATO , #Uturuki

Habari Zinazohusiana