Virusi vya corona Uturuki

Watu 62 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona

1596066
Virusi vya corona Uturuki

Watu 62 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.

Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 28,901.

Jumla ya watu 138,214 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 698 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi ndani ya siku moja imefikia 11,302.

Idadi ya waliopona imefikia 2,608,848 ikiwa ni pamoja na watu 7,711 walioruhusiwa kuondoka hospitali.Habari Zinazohusiana