Virusi vya corona Uturuki

Watu 176 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.

1560910
Virusi vya corona Uturuki

Watu 176 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na virusi vya corona (covid-19) ndani ya masaa 24 nchini Uturuki.

Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona (covid-19) tangu kuzuka kwa janga hilo hadi kufikia sasa nchini Uturuki imefikia 22,807.

Jumla ya watu 162,786 waliweza kufanyiwa vipimo vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 1,017 ziligundulika. Idadi ya kesi za maambukizi ndani ya siku moja imefikia 9,138.

Idadi ya waliopona imefikia 2,198,150 ikiwa ni pamoja na watu 7,103 walioruhusiwa kuondoka hospitali.Habari Zinazohusiana