Virusi vya corona Uturuki

Watu 74 wapoteza maisha kwa corona ndani ya masaa 24 nchini Uturuki

1515347
Virusi vya corona Uturuki

Watu 69 wameripotiwa kupoteza maisha ndani ya masaa 24 kutokana na virusi vya corona (covid-19) nchini Uturuki.

Idadi ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona imeripotiwa kufikia 9,727 nchini Uturuki tangu kuanza kwa janga la covid-19.

Jumla ya watu 113,427 wameweza kufanyiwa vipimo  vya covid-19 ndani ya siku moja ambapo kesi 2,091 mpya za maambukizi ya corona zimegundulika.

Idadi ya watu waliopona hadi kufikia sasa imefikia 313,093 ikiwa ni pamoja na watu 1,573 walioruhusiwa kuondoka hospitali.Habari Zinazohusiana