Rais Erdoğan na  mkono wa Eid  kwa viongozi fotauti

Rais wa Uturuki atoa mkono wa Eid al Adha  kwa viongozi tofauti  katika ukanda

1465498
Rais Erdoğan na  mkono wa Eid  kwa viongozi fotauti


Rais wa Uturuki atoa mkono wa Eid al Adha  kwa viongozi tofauti  katika ukanda.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ametoa mkono wa Eid lwa viongozi  tofuati  katika Ukanda katika kusherekea siku kuu hiyo.

Rais Erdoğan amemtakia siku  njema ya Eid  rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev, rais wa Irak  Hassan Ruhani,  sultani wa Oman Heysem bin Tareq, rais wa Turkmen Kurbankulu Berdimuhammedov, rais wa Algeria Kays Said,  rais wa Kirgizistan Sooronbay Ceenbekov, rais wa Irak Berhem Salih na viongozi wengine tofauti  kama Bakir İzetbegoviç.

Mkono huo wa Eid umetolewa  kwa njia ya simu.

Kitengo kinachohusika na mawasiliano ikulu  kimefahamisha kuwa rais Erdoğan amezungumza  na viongozi  hao pia kuhusu  kuimarishwa ushirikiano kati ya Uturuki na mataifa hao.Habari Zinazohusiana