Ndege 36 zawasili Antalya Utuuki ndani ya siku moja

Ndege  36 kutoka katika mataifa 9 zawasili mjini Antalya Uturuki ndani ya siku moja

1452551
Ndege 36 zawasili Antalya Utuuki ndani ya siku moja


Ndege  36 kutoka katika mataifa 9 zawasili mjini Antalya Uturuki ndani ya siku moja.

Ndani ya siku moja ndege 3 kutoka katika mataifa  9 zmewasili m katika mji wa Antalya nchini Uturuki, mji huo wa Antalya ni mji ambao  huwavutia watalii katika msimu wa kiangazi.

Uturuki imeweka mikaka ya kuhakikisha usalama  wa watalii watakaotembelea Uturuki.
Ni watalii 27083 kutoka katika mataifa tofauti wamewasili nchini Uturuki .

Uturuki imeweka mikakati  kwa watali ambao wanaingia nchini Uturuki ili kuwalinda na maambukizi  ya virusi vya corona.

Wizara ya afya ya Uturuki imewatolea wito  raia wake  mara kwa mara kuheshimu maagizo yanayotolewa ili kuepuka maambukizi ya covid-19.

Mji wa Antalya ni miongoni mwa  miji ambayo anawavutia watalii kutokana na fukwe zake na hali yake ya hewa na madhara nzuri ya kijani kibichi.

Watalii kutoka mataifa kama Kazakistani, Belarusia na Ukraina wanaendelea kuwasili nchini Uturuki.

Nyumba za wageni  katika mji huo , usafi na maagizo kutoka wizara ya afya umehimizwa.
 Habari Zinazohusiana