Maboti ya kifaghari Yacht  yaanza kuonekana katika  Bodrum Uturuki

Maboti ya kifaghari  ya Yacht yaanza kuonekana  majini mkoani Bodrum nchini Uturuki

1446095
Maboti ya kifaghari Yacht  yaanza kuonekana katika  Bodrum Uturuki
bodrum mega yatlar1.jpg
bodrum mega yatlar.jpgMaboti ya kifaghari  ambayo hutumiwa na watalii katika  msimu wa kiangazi na joto yaanza kuonekana  yakiwa baharini katika  mji ambao huwavutia watalii kila mwaka nchini Uturuki.

Bodrum, Muğla ni mji ambao katika msimu wa kiangazi  huwa na idadi kubwa ya watali miongoni mwa miji ambayo huwavutia watalii nchini Uturuki.

Watu maarufu ulimwenguni kama Jennifer Lopez walitembelea katika eneo hilo  na kuweza kupumzika wakati wa kiangazi Bodrum  iikiwa ni eneo ambalo huwavutia watalii kwa wingi  katika bahari ya Egean upande wa Kusini.

Jennifer Lopez , Heidi Klum na Julia Robert  waliwahi kutemebelea na kupumzika katika fukwe za Muğlu Bodrum katika Yacht  ndefu zenye mita  75  "Cloudbreak"
Maboti hayo ya kifaghari yalitengenezwa na vyuma imara  ambavyo vinaweza kusafiri katika maeneo  ambayo sio rahisi  na ugumu katika mazingira ya kawaida.

Katika Yatch hizo  kuna kiwanja cha helikopta, uwanja wa michezo , eneo la kuonesha filamu.

Yatch   hizo za kifahari  zinawavutia wengi.Habari Zinazohusiana