Magaidi watatu wa PKK waangamizwa katika operesheni Van

Magaidi watatu wa kundi la PKK waangamizwa na jeshi la Uturuki mkoani Van

1445321
Magaidi watatu wa PKK waangamizwa katika operesheni Van


Magaidi watatu wa kundi la PKK waangamizwa na jeshi la Uturuki mkoani Van .

Jeshi la Uturuki imewaangamiza magaidi watatu wa kundi la Pkk katika operesheni yake iloendeshwa mkoani Van .

Katika taarifa iliotolewa  na wizara  ya mambo ya ndani , magaidi watatu waliokuwa na silaha zao  wameangamizwa  katika operesheni ilioendeshwa na kikosi maalumu  katika eneo la Gürpınar.

Wanamgambo wa kundi la PKK  huendesha mashambulizi  ya kuvamia misafara ya jeshi la Uturuki katika maeneo yanapakana  na Syria na Irak.

Jeshi la Uturuki na wizara ya  mambo  ya ndani imesema kuwa operesheni dhidi ya magaidi katika eneo hilo zitaendelea.

 


Tagi: #Van , #PKK , #Uturuki

Habari Zinazohusiana