Rais Erdoğan azungumza na vijana waliopo katika  mitandoa ya kijamii

Rais wa Uturuki azungumza na vijana waliopo katika mitandao ya kikamii

1444142
Rais Erdoğan azungumza na vijana waliopo katika  mitandoa ya kijamii


Rais wa Uturuki azungumza na vijana waliopo katika mitandao ya kikamii.

Recep Tayyıp Erdoğan, rais wa Uturuki azungumza na  vijana waliopo katika mitandoa ya kijamii.

Katika ujumbe wake aliotoa, rais Erdoğan amewatolea vijana  wito wa kutumia muda na nguvu zao katika kujielimisha  na ni jukumu letu  kutafuta suluhu katika matatizo yanayojitokeza.

Rais Erdoğan amewatolea wito vijana kutumia mitandoa ya kijamii kwa manufaa katika jamii.

Katika maongezi  yake na vijana wa mitandoa ya kijamii, rais Erdoğan amezungumza pia kuhusu virusi vya vya corona na kuesme  kuwa Uturuki ilichukuwa hatua zinazostahili   wakati ambapo mtu wa kwanza aliripotiwa kuwa na maambukizi.

Rais Erdoğan amesema  kuwa hadi kufikia sasa bado  kiwango  cha makadirio ya kesi za maambukizi hakijafikia  kiwango  kilichotarajiwa.

Rais Erdoğan amesema kuwa  ni jukumu letu kuendelea kuheshimu    hatua ambazo zimetolewa  kwa ajili ya kuepuka maambukizi.

Ujumbe huo wa rais Erdoğan ametolewa moja kwa moja kupitia ukurasa wa YouTube, Facebook, Twitter na Instagram.Habari Zinazohusiana