Safari za ndege za shirika la Turkish Airlines Uturuki

Shirika la ndege la Turkish Airlines  lafahamisha kuwa  safari za ndege ndani kuanza  vema Juni 4

1427743
Safari za ndege za shirika la Turkish Airlines Uturuki


Shirika la ndege la Turkish Airlines  lafahamisha kuwa  safari za ndege ndani kuanza  vema Juni 4.

Mkurugenzi wa shirika la ndege la Uturuki la Turkish Airlines Bilal Ekşi  amesema kwamba  safari za ndege katika shirika  analoongoza  zitaongezwa idadi yake  kuanzia Juni 4.

Ujumbe huo ameutoa kupitia ukurasa wake wa Twitter Jumatatu kuwafahamisha  abiria wanaotaraji kusafiri.

Katika ujumbe wake huo , kupitia ukurasa wake wa Twitter, mkurugenzi huyo amesema kuwa safari za THY zitaongezwa katika miji  34 Uturuki.

Ankara, uwanja wa nde wa Sabiha Gökçen, Istanbul  katika ardhi yote ya Anatolia.Habari Zinazohusiana