Ujumbe wa Eid kutoka kwa mkuu wa bunge la Uturuki

Msemaji wa bunge la Uturuki atoa ujumbe wa siku kuu ya Eid

1422492
Ujumbe wa Eid kutoka kwa mkuu wa bunge la Uturuki


Msemaji wa bunge la Uturuki atoa ujumbe wa siku kuu ya Eid.

Spika wa bunge la Uturuki, Mustafa Şentop ametoa ujumbe kuhusu siku kuu ya Eid , siku kuu ambao  husherekewa  kwa kumaliza mwez mtukufu wa Ramadhani.

Katika ujumbe wake huo, Şentop amewatakia waislamu wote Uturuki na taifa zima siku kuu njema ya Eid el Fitr.

Şentop amesema kuwa mwezi mtukufu wa Rmadnai ni mwezi pekee amboa ni fursa kubwa kutoka kwa muuba anayowapa waje wake kumkumbuka na  kujitakasa kwa kuwa ni mwezi wa msamaha.

Ni siku kuu kwa wale wote waliorejea kwa mola wao  kwa kuongeza idadi katika mwezi huu ambao upo tayari ukingoni ameendelea kufahamisha Mustafa Şentop. 
 Habari Zinazohusiana