Mapambano dhidi ya virusi vya corona Uturuki

Watu  32 wamefariki ndani ya msaa  24 kutoka na maambukizi ya virusi vya corana  Uturuki

1422562
Mapambano dhidi ya virusi vya corona Uturuki


Watu  32 wamefariki ndani ya msaa  24 kutoka na maambukizi ya virusi vya corana  Uturuki.

Idadi ya vifo kutokana na virusi vya corona  nchini Uturuki  inazidi kupungua .

Ndani ya masaa 24 watu 32 wameripotiwa kufariki kutokana na virusi vya corona, taarifa zinasema kwamba  idadi ya vifo inaendelea kupungua tangu kaunza kwake Uturuki.

Watu ambao wamekwishafariki kutokana na  covid-19 Uturuki imefikia watu  4308.

 Wakati huo huo, watu wengine 40178  wamepimwa  na watu   1186 wamegunduliwa kuwa na maambukizi.

Idadi ya watu waliopona baada ya kupatiwa matiabu imefikia watu  117602  baada ya watu  1491 kuripotiwa  kupona ndani ya masaa  24.Habari Zinazohusiana