Uturuki yamtahadharisha jenerani Khalifa Haftar Libya

Uturuki yalitadharisha jeshi la Haftar kwa kushambulia wanjeshi wake nchini Libya

1421466
Uturuki yamtahadharisha jenerani Khalifa Haftar Libya


Uturuki yalitadharisha jeshi la Haftar kwa kushambulia wanjeshi wake nchini Libya.

Uturuki imefahamisha kuwa  wapiganaji wa jenerali Khalifa Haftar   nchini Libya wameshambuliai jeshi la Uturuki na mali zake nchini humo.

Kufuatia kitendoo hicho, Uturuki  imetahadharisha  wapiganja  wa jenerali huto kwa kulenga mali zake katika mashambulizi yake.

Kwa mujibu wa Uturuki,  iwapo wapanaji wa Haftar  wataendelea kulenga mali za Uturuki  , kitendo hicho kitakuwa na athari kubwa kwa kuwa ni jeshi ambalo linaungwa mkono na Jumuiya ya  kimataifa litakuwa limeshambuliwa.

Msemaji wa wizara  ya mambo ya nje ya Uturuki Hami Aksoy amejibu kuhusu  jeshi la Haftar  kushambulia mali za Uturuki nchini Libya na wanajeshi wake.

Hami Aksoy ,   msemaji  wa wizara ya  mambo ya nje wa Uturuki amesema kuwa jhali ilipop nchini Libya inatakiwa kupatiwa  ufumbuzi haraka iwezekanavyo .

Jeshi la Haftar  limeshambulizi mali za Uturuki na wanajeshi wake  kwa ushirikiano na ndeege za kivita Mashariki mwa Libya.

Kitendo hicho cha  kuendeshwa mashambulizi hayo nchini Libya  nş wazi kuwa jenerali Haftar hana haja ya mazungumzo walu kusitishwa kwa mapigano nchini Libya.Habari Zinazohusiana