Uturuki/coronavirus : Taarifa kuhusu visa vya Mei  17

Uturuki yatangaza vifo kutokana na maambukizi ya virusi vya corona

1419117
Uturuki/coronavirus : Taarifa kuhusu visa vya Mei  17


Watu 44 wameripotiwa kufariki nchini Uturuki  ndani ya masaa  24 ndani ya masaa  24.

Vifo  hivyo vimepelekea idadi ya watu ambao wamekwishafariki kutokana na maambukizi ya  covid-19 kuongezeka na kufikia watu  4140.

Licha ya vifo hivyo, wizara ya vifo kwa ushirikiano na wizara ya mambo ya ndani  imesema idadi ya vifo na maambukizi kutokana na virusi vya corona inazidi kupungua kila kukicha.

Watu  35 639 wamepimwa huku watu  1386 miongoni mwao wameripotiwa kuwa na maambukizi.

Idadi ya watu ambao tayari wamekwishapona Covid-19  imefikia watu  109962 baada ya watu  1825 kutangazwa kupona ndani ya masaa  24 yaliopita.
 



Habari Zinazohusiana