Uturuki ndio taifa pekee ambalo linatoa huduma kutumia ndege maalumu bila malipo

Uturuki ndio taifa pekee ambalo linatoa hudumma kwa kutumia ndege maalumu kwa ajili ya wagonjwa  bila ya malipo

1407351
Uturuki ndio taifa pekee ambalo linatoa huduma kutumia ndege maalumu bila malipo


Uturuki ndio taifa pekee ambalo linatoa hudumma kwa kutumia ndege maalumu kwa ajili ya wagonjwa  bila ya malipo.

Uturuki ndio tiafa pekee ambalo limeripotiwa kutoa m huduma kwa kutumia ndege   maalumu kwa ajili ya  wagonjwa bila ya malipo katika maaneo ambayo wanagonjwa wnaahitaji  huduma haraka na kwa dharura.

Uturuki  katika kipindi cha miezi minne   imewahudumia wagonjwa takribani  453 kwa kutumia ndege maalumu na wagonjwa  211 kwa ndege nyingine ambayo ilikuwa na vifaa maalumu kwa ajili ya  huduma maalumu .

Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Twitter, Fahrettin Koca amefahamisha  kuwa  huduma  kuptia ndege maalumu imetolewa tnagu mwaka  2008 nchini Uturuki.

Katika ujumbe wake huo, waziri wa afya wa Uturuki amesema kwamba Uturuki ndio taifa pekee ambalo linatoa huduma hiyo kwa wagonjwa bila ya malipo.

Amemalizia katika ujumbe wake kuwa  kwa wale wanaoamini kuwa  huduma kama hizo hutolewa katika filamu, wanatakiwa kuamini kuwa Uturuki inafanya hivyo tangu mwaka  2008.
 Habari Zinazohusiana