Altun : "Uturuki inaongoza kwa kuwa na  vifaa vingi vya matibabu Ulaya"

Mkurugenzi wa kitengo kinachohusika na mawasiliano ikulu  asema kuwa Uturuki inaongoza kwa kuwa na vifaa vingi vya matibabu Ulaya

1401181
Altun : "Uturuki inaongoza kwa kuwa na  vifaa vingi vya matibabu Ulaya"


Mkurugenzi wa kitengo kinachohusika na mawasiliano ikulu  asema kuwa Uturuki inaongoza kwa kuwa na vifaa vingi vya matibabu Ulaya.

Fahrettin Altun, mkurugenzi  katika kitengo kinachohusika na  upashaji habari ikulu  amesema kwamba Uturuki inaongoza kwa kuwa na vifaa vya matibabu ya dharura kuliko mataifa ya Ulaya.

Mkurugenzi huyo amezungumza kuhusu   sekta ya afya ya Uturuki katika kipindi hiki ambacho ulimwengu mzima unapambana na virusi vya corona.

Wizara ya afya ya Uturuki imefahamisha kuwa  vifaa  vya matibabu kwa wajonjwa walio maututi Uturuki  barani Ulaya  Uturuki inaongoza.

Altun amesema kuwa Uturuki  ina idadi ndogo mno ya watu walioathirika na  virusi vya corona ikilinganishwa na mataifa mengine ulimwenguni.

U turuki imeweza kufaanikisha hilo kutokana na kuwekeza ipasavyo katika sekta ya afya  katika miaka michache iliopita.

Ujumbe  kuhusu Uturuki kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika sekta ya afya ameutoa kupitia ukurasa wake katika  mtandoa wa Twitter, ni baada ya juhudi  kubwa   sekta ya afya  kufikia katika matunda hayo.

Hospitali nchini Uturuki zinaendelea kutoa matibabu  kutokana na uwezo wake  mkubwa katika umiliki wa vifaa vya matibabu.
 Habari Zinazohusiana