Kimiminiko chenye dawa yenye  uwezo wa kuuawa vimelea  kuingizwa sokoni Uturuki

Kimiminiko maalumu chenye uwezo wa kuuawa vimelea  kilichotengenezwa na  wataalamu wa Uturuki chatarajiwa kuingizwa sokoni wiki ijayo

1396117
Kimiminiko chenye dawa yenye  uwezo wa kuuawa vimelea  kuingizwa sokoni Uturuki


Kimiminiko maalumu chenye uwezo wa kuuawa vimelea  kilichotengenezwa na  wataalamu wa Uturuki chatarajiwa kuingizwa sokoni wiki ijayo.

Kimiminiko chenye uwezo wa kuuawa vimelea kilichotengenezwa na wataalamu wa Uturuki  kinatarajiwa kuingizwa sokoni nchini Uturuki wiki ijayo.

Katika juhudi za kupambana na virusi vya corona, wataalumu wa utengenezaji wa madawa  wamefaanikiwa  kutengeneza kimiminiko chenye dawa yenye uwezo wa kuuawa vimelea ambavyo vinaweza kuwa hatari kwa afya ya binadamu.

Waziri wa nishati na  mali ya asili wa Uturuki Fatih Dönmez amefahamisha kuwa kmimiiko hicho Made In Turkey kitaingizwa sokoni wiki ijayo baada ya kuchunguzwa kwa mara ya mwisho na wataalamu.

Katika ujumbe wake aliotoa kupitia ukurasa wake wa Twitter, waziri huyo ameendelea kusema kuwa serikali ipo bega kwa bega na raia wake ili kuhakikisha kuwa  virusi vya corona vinatokomezwa Uturuki.
 Habari Zinazohusiana