Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona Uturuki yafikia watu  356

Idadi ya  watu ambao wamekwishafariki kutokana na virusi vya corona Uturuki yaripotiwa kuongezeka

1390229
Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona Uturuki yafikia watu  356


Idadi ya  watu ambao wamekwishafariki kutokana na virusi vya corona Uturuki yaripotiwa kuongezeka.

Idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya corona nchini Uturuki yaripotiwa kuongezeka na kufikia watu  356.

Watu 79 wamefariki katika kipindi cha masaa 24 na kupelekea idadi hiyo kuongezeka na kufikia watu  356.

Kulinga na taarifa iliotolewa na wizara ya afya ya Uturuki,  watu 18757 wamepimwa na miongoni mwao watu  2456 wamegunduliwa wakiwa na virusi hivyo hatari.

Watu 415 wameripotiwa kuruhusiwa kuondoka hospitali baada ya kupewa matibabu na kupona.Habari Zinazohusiana