Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki na mazungumzo ya kidiplomasia

Mazungumzo ya kidiplomasia

1390172
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki na mazungumzo ya kidiplomasia

Waziri wa Mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu anaendelea na mazungumzo ya kidiplomasia na viongozi mbalimbali ulimwenguni.

Kwa mujibu wa habari,waziri huyo amefanya mazungumzo ya simu na waziri wa mambo ya nje wa Lebanon Nasif Hitti na mwakilishi wa mambo ya nje na Usalama wa Jumuiya ya Ulaya Joseph Borell Fontelles.

Hakuna taarifa kamili ya ni nini hasa kilichozungumzwa katika mazungumzo hayo.

 Habari Zinazohusiana