Rais wa Chad atangaza siku tatu za maombolezo baada ya shambulizi la kigaidi

Rais  wa Chad Idriss Deby  atanzaga siku tatu za maombolezo baada ya kuuawa watu 92 na  Boko haramu

1385104
Rais wa Chad atangaza siku tatu za maombolezo baada ya shambulizi la kigaidi


Rais  wa Chad Idriss Deby  atanzaga siku tatu za maombolezo baada ya kuuawa watu 92 na  Boko haramu.

Wanagambo wa kundi la Boko haramu wameendesha shambulizi dhidi ya kambi ya wanajeshi karibu na ziwa Chad na kupelekea vifo vya wanajeshii 92.

Katika shambulizi hilo wanajeshi wengine  47 wamejeruhiwa .

Maombolezo hayp ya wanajeshi walouawa na wanamgambo wa boko haramu yanaanza rasmi Machi 25 na kumalizika Machi 28.
Rais wa Chad Idriss Deby amefahamisha kuwa wanajeshi waliolengwa katika shambulizi hilo ni wanajeshi waliokuwa katika kambi ya Bouma karibu na ziwa Chad.

Makabiliano kati ya  wanajeshi na wanamgambo  wa  boko haramu wamechukuwa muda wa  masaa matano.

Rais Deby kabla ya  kutangaza idadi ya wanajeshi waliofariki amesema kuwa   magaidi hao wajiandae kwa kulipiziwa kisasi.Habari Zinazohusiana