Ujumbe wa Umoja kutoka  kwa rais Erdoğan katika kupambana na Covid-19

Rais wa Uturuki atoa  ujumbe wa Umoja katika  mkutano aliofanya  kwa njia ya video  kuhusu Covid-19

Ujumbe wa Umoja kutoka  kwa rais Erdoğan katika kupambana na Covid-19


Rais wa Uturuki atoa  ujumbe wa Umoja katika  mkutano aliofanya  kwa njia ya video  kuhusu Covid-19.

Rais wa Uturuki ametoa ujumbe wa Umoja katika mkutano aliofanya kuhusu juhudi za kupambana na virusi vya corona.

Katika  ukurasa wake wa Twitter, rais Erdoğan amesema  kuwa tukiwa pamoja tutashinda , tupo zaidi ya milioni  80.

Ujumbe huo ameutoa kupitia video aliorusha katika   ukurasa wake wa Twitter.

Wataalamu  na wanasayansi  wanafanya kazi  usiku na mchana kuhakikisha virusi hivyo vinaangamizwa.Habari Zinazohusiana