Shirika la ndege la Uturuki (THY) lastisha safari zake za kimataifa katika kukabiliana na Corona

Katika kukabilianana na virusi vya Corona shirika la ndege la Uturuki (THY) lathitisha safari zake zote za kimataifa isipokuwa kaulekea miji 5

1382827
Shirika la ndege la Uturuki (THY) lastisha safari zake za kimataifa katika kukabiliana na Corona

Shirika la ndege la Uturuki (THY) imesitisha safari zake zote za kimataifa kasoro vituo 5 tu.

Kila siku kunakuwa na hatua mpya inayochukuliwa katika kukabiliana na virusi vya Corona vilivyoenea dunia nzima.

Katika muktadha wa hatua zilizochukuliwa na Uturuki katika kudhibiti kusambaa kwa virusi vya Corona. Uturuki imesitisha safari za kimataifa kuelekea katika jumla ya nchi 68.

Kuanzia Machi 27 shirika hilo linalobeba bendera ya Uturuki litasitisha safari zake  zote za kimataifa  ukiacha zile za kuelekea katika vituo 5 ambavyo ni New York, Washington, Hong Kong, Addis Ababa na Moscow.

 Habari Zinazohusiana