Biashara kupitia mtandao yaongezeka  Uturuki kutokana na virusi vya corona

Nchini Uturuki biashara kupitia mttandoani yaongezeka  kutokana na virusi vya corona

1382029
Biashara kupitia mtandao yaongezeka  Uturuki kutokana na virusi vya corona


Nchini Uturuki biashara kupitia mttandoani yaongezeka  kutokana na virusi vya corona.

Kutokana na virusi vya corona , nchini Uturuki biashara kupitia mtandaoni imeripotiwa kuongezeka.

Biashara hiyoimeongezeka kutokana na hofu ilioandana  kama ilivyo katika mataifa mengi ulimwenguni.

Raia wa Uturuki wamepatwa na hofu kutokana na kuzagaa kwa  virusi hivyo na kuwafanya kutokuwa na shauku za kutoka kutoka nje na kununua vito tofauti.

Tangu kauanza kwa virusi hivyo katika jimbo la Wuhan  nchini China mwishoni mwa mwaka  2019, Uturuki imekuwa pia muathirika wa virusi vya corona.

Watu wanne wamekwishafariki tangua kuibuka kwa virusi hivyo na kusababisha  maafa.

Mauzo mengi yanashuhudiwa kuwa katika sekta ya afya na chakula.Habari Zinazohusiana